Kwanza, naomba kuwashukuru wote walioonesha interest na kazi hii.
Pili, sasa naomba nitoe ufafanuzi kiasi kuhusu kazi yenyewe:
Kazi inahusu biashara ya mifugo na bidhaa zake (sio nguruwe), eneo la biashara zaidi ni dar ila baadae inaweza kuhusisha kusafiri kwenda kijijini,mazingira ya kazi yanaweza kubadilika badilika na mshahara ni maelewano.
Tatu, kutokana na kupokea PM nyingi sana, nimebaini kwamba mbinu niliyokuwa nimepanga kuitumia kwa ajili ya usaili wa uaminifu...
Nafasi ya kazi kwa mtu mwaminifu sana