Habari zenu wana JF woote!Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya.Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26.Najitokeza hapa kutafuta kazi yoyote ile itayoniingizia kipato ili mradi tu iwe halali.Nina ujuzi na uzoefu ufuatao
*Security Officer
Nilihitmu mafunzo ya polisi na kufanya kazi miaka mitatu kutokana na maslahi finyu niliacha.
*Nina cheti cha Business Adminstration
Nimesomea na kuhitimu vyema masomo ya biashara na nina uzoefu wa miaka mitatu
*Ninaongea fluent English and little...
Natafuta kazi yoyote ya halali