Nitangulize salamu,
Habari wana JF, nimepata nafasi ya kuitwa kwenye written interview ya WCF pale DUCE, namshukuru Mungu kwa hilo, ningependa kutoa maoni yangu kwa hawa wawezeshaji a.k.a utumishi kutuangalia kwa jicho pevu sisi watu wa mikoani, walau usaili wa kwanza uwe unafanyika kwenye ofisi ya kila mkoa then unaofuata ndio sasa mtuite huko Dar es Salam.
Kwa kweli umekua mwiba mchungu sana kwa sisi tulio mkoani kwa kuwa tunakabiliwa na changamoto kubwa sana za kiusafiri hasa...
Utumishi mtuangalie na sisi wa mikoani!